Abiria mmoja mwenye mwisho wa tofauti akiwa ndani ya ndege.
rubani Tae-in na Gyu-sik wakiwa tayari kuruka kuelekea Gimpo kuwafikisha abilia awo. Chini ya uongozi wa mhudumu wa ndege Ok-soon, abiria wakiendelea kupanda ndege kwa shughuli nyingi tofauti tofauti. Mara gara, muda mfupi baada ya kuruka, bomu lililotengenezwa kienyeji linalipuka na kuigeuza kabati la ndege kuwa katika hali ya vurugu na hofu.hii ni historia ya kweli hiliyo tokea uko Korea mwaka 1971.