Katika siku zijazo dunian siku izo zilizoharibika na sumu, maelfu ya watu wakaishi ndani ya SILO kubwa iliyo chini kabisa ya ardhi. Baada ya sheriff wa silo hiyo kuvunja sheria muhimu sana na wakazi kuanza kufa kwa njia ya kutatanisha, engineer Juliette (Rebecca Ferguson) anaanza kufichua siri za kutisha na ukweli halisi kuhusu silo hilo.

KILA JUMAMOSI TUNALETA EPISODE INAYOFUATA