KUHUSU SISI

Tovuti hii iko kwajili ya kuleta BURUDANI kupitia movie,tamthilia na vipindi vya televisheni ivyo basi tumeamua kuleta burudani hii kwa lugha yetu ya kiswahili yani movie au Tamthilia ikiwa imewekewa sauti ya lugha yetu.
Bila kusahau vipande ambavyo havina maadili tume vitowa kabisa kama agizo la maadili la nchi yetu Asanteni.